Chris Brown: Bado nampenda Rihanna lakini tukiwa pamoja tutapigana tena

 

uso wake Rihanna baada y akupigwa na Chris Brown
uso wake Rihanna baada ya kupigwa na Chris Brown

qqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqq

Msaani Mtundu toka nchini Marekani chris Brown Hatimaye afunguka kuhusu kilichopeleka yeye kumpiga na kumjeruhi vibaya msaani wa Kike Rihanna wakati ambapo walikuwa katika mahusiano.

Brown asema Rihanna alikuwa na hulka ya kumpiga kila mara na hata kuna wakati moja alimgonga kutumia simu yake ya mkono.

Uhusiano wao ulikatizwa gafla mwaka wa 2009 usiku wa sherehe za Tuzo za Grammy nchini Marekani ambapo inadaiwa kuwa Chris Alimpiga na kumwacha Rihanna na majeraha mabaya Usoni.

Tukio lililopeleka Chris Brown kupata kifungo cha nje cha miaka 5 na kazi ya jamii huku pia akitakiwa kukaa  mbali na Rihanna baada ya kukiri mahakamani kosa la kumpiga Rihanna.

 

Total Views: 311 ,