Chipukizi wa Kenya wazimwa na Zambia

Chipukizi wa nyumbani wasiozidi umri wa miaka 17 walidhalilishwa kwa kichapo cha mabao 4-0 na timu ya Zambia katika michuano ya chipukizi inayoendelea huko Mauritius.

Vijana hao chini ya ukufunzi wa mjerumani Andrea Spiers walilemewa kupita kiasi huku mabao ya Zambia yakitiwa kimya na nyota Nicholas Mulilo, Damiano Kola and Kunda Nkandu .

Mechi hiyo ilichezwa katika uga wa Francois Xavier mjini Port Louis, nchini Mauritius mapema leo..

Total Views: 315 ,