Chemelil yapanga kuivamia Ulinzi wikendi

Baada ya mapumziko ya kimataifa kutoa fursa kwa mechi za kuwania kufuzu kwa dimba la dunia nchini Urusi mwaka 2018,ligi kuu ya humu nchini inarudi tena kwa kishindo wikendi hii huku klabu ya Chemelil ikipanga kufanya mashambulizi dhidi ya Gor mahia.
Chemelil ni ya nne katika jedwali la ligi kuu ya kitaifa ikiwa na alama 37 huku Gor ikishikilia nafasi ya pili ikiwa na alama 37 ila tofauti ya Mabao.

Total Views: 299 ,