Chelsea yamwandama Felippe Anderson

Klabu ya Chelsea chini ya uongozi wa Antonio conte inapania kumsajili nyota wa klabu ya Lazio Felipe Anderson mwenye umei wa miaka 23 katika dirisha lijalo la uhamisho, mchezaji ambaye klabu ya Man united ilishindwa kumsajili kwa kima cha £50 millioni.
Kwingineko… klabu ya Intermillan inapania kumsajili Cesc Faregas kutokea klabu ya Chelsea, huku mkufunzi wa klabu hiyo Antonio conte akitaka kumwuza Hazard klabuni humo ili kutwaa mlinzi Leonardo Bounucci.

Total Views: 364 ,