Cardi B ajisamilisha kwa polisi NewYork

Cardi B ajisamilisha kwa polisi NewYork

Rapper wa kike kutoka nchini Marekani Card B amejisalimisha kwa mafisa wapolisi wanaochunguza kisa cha mwezi jana ambapo Cardi b NA Nicki Minaj walidaiWA kuzua rapsha katika sherehe za  New York Fashion.

Marapper hao wakike waliongia ugovi toka mwaka 2017 baada ya Nicki minaj kuonekana kujibu maoni ya picha yake ya instgram ulionekna mkumkejeli Cardi B.

TTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTT

Katika single yake ya NO FLAG Nicki minaj alionekana kumdiss  Cardi B licha ya kuwa alikuwa ameshirikiana na mpenzi wake Cardi B offset tetesi ambazo Nicki alikanusha.

Wakati wa tuzo za MTV awards tuzo ambazo Cardi B alitawazwa kuwa rapper Bora wa kike , rapper huyo alimkejeli Nicki Minaj Hadharani na kuongeza uhasama katika mahusiano yao.

Mzozo huo ulienda hata katika baddi ya nyimbo mbazo walishirikishwa kwa pomoja ikiwemo Motor Sport ambayo nicki minaj alidaiwa kubadlisha mistari yake baada ya kusikiliza mistari ya Card B.

Kwa sasa mafisa wa polisi mjini newyrk wanawachunguza wawili hao, baada ya kupigana n katika eneo la Angeles Club. Tayari watu Tisa wamehojiwa kufutia tukio hilo.

Total Views: 190 ,