CAF yaweka makataa ya kujisajili

Vilabu vya barani Afrika vina hadi tarehe 15 mwezi Oktoba mwaka huu kujisajili kwa mashindano kuwania ubingwa wa kilabu bora kwa siku barani afrika sawia na mashindano ya mashirikisho..

Haya ni kwa mujibu wa FIFA ambayo imedai kuwa inalenga kubatilisha kalenda yake kutoka msimu wa februari –november hadi ule wa Agosti – May.

Mataifa 12 ambayo tayari yameratibiwa kushiriki msimu ujao ni.. Tunisia, Egypt, DR Congo, Morocco, Algeria, South Africa, Sudan, Zambia, Libya, Ivory Coast, Cameroon na Mozambique…

Total Views: 149 ,