Black “Berry” kuongezewa mkataba Gor

Klabu ya Gor inapania kuongeza kwa miaka 2 mkataba wa mchezaji George ‘Blackberry’ Odhiambo kwa kile klabu hicho inachosema ni mchezaji mahiri na itakuwa vigumu kumwachilia.

Mchezaji mwinginwe anayetarajiwa kujiunga na klabu hiyo ni mchezaji Mediie Kagere anayewajibikia klabu ya S. Kyovu kutokea taifa la Rwanda.

Total Views: 319 ,