BET wamwomba msamaha NICKI MINAJ

BET imemwomba msamaha rapper Nicki Minaj baada ya kauchia Tweet ilionekana kumlenga na kumdhalilisha Nicki Minaj mbele ya rapper ambaye wamekuwa na uhasam kwa muda Cardi B.

Tweet ya BET ilisema hivi “Meanwhile, Nicki Minaj is being dragged by her lacefront.”

 

Tweet hio imesababisha Nicki Minaj kutangaza kujindoa katika Tuzo na tamasha zozote zitakazo anadaliwa na BET .

Aidha Rapper huyo amesema kuwa Label ya Young Money pia haitahusika kabisa katika tuzi za BET za mwaka wa 2019.

Hatua hii imepelekea BET kumwomba msamaha Nicki Minaj na kuagiza uchunguzi wakina kutokana na post hio iloibuwa mseto wa hisia baada ya Cardi B kushinda tuzo ya the best Rap Album katika Tuzo za Grammy na kuwa msaani kwa kwanza wa kike kuwahi kushinda tuzo hio duniani.

 

 

Total Views: 196 ,