Badilisheni sheria ili walimu wawajibike,asema Sossion

Katibu mkuu wa muungano  wa walimu nchini knut Wilson sossion ametishia kuwa walimu wakuu hawatatekeleza majukumu mapya chini ya maagizo mapya yaliopendekezwa kusimamia mitihani nchini ikiwa sheria za mitihani hazitarekebishwa.

Sossion amesema kuwa ni lazima sheria hizo zirekebishwe na pia walimu wakuu watengewe marupurupu kwa ajili ya majukumu hayo.

Mwisho

Total Views: 359 ,