BAADHI YA WAFANYIKAZI WA KRA WAFIKISHWA MAHAKANI

Wafanyakazi wa mamlaka ya kitaifa ya utozaji ushuru KRA waliosimamishwa kazi miezi miwili iliyopita huenda wakafunguliwa mashtaka ya ufisadi ya kukwepa kulipa ushuru Alhamisi ijayo.

Sitini na tisa kati ya wafanyakazi 75 wa mamlaka hiyo ndiyo wanaotarajiwa kuwasilishwa mahakamani.

Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Noordi Hajji, hata hivyo aliamuru wachunguzi kutafuta ushahidi zaidi ili kuimarisha mashtaka dhidi ya wshukiwa kabla ya kuwafikisha mahakamani.

picha hisani

Total Views: 19 ,