Baada ya Kaa la Moto sasa ni zamu yake Susumila?

Baada ya Kaa la Moto sasa ni zamu yake Susumila?

Basi kama ulikuwa wasibiria kupata full burudani toka kwa msanii Susumila anayetamba na kibao chake cha Mapepe alicho mshirikisha rapper King Kaka huenda utatakiwa kuwa mvumilivi.

Kwani kwa sasa Susumila amesema kuwa hatakuwa anajihusisha na projects zozote wakati amabapo Waumini wa Dini wa kiisilamu watakuwa wanaanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan

Susu amesema kuwa mipango yote yake ya sasa yatasimama hadi mwezi July.

 

Total Views: 800 ,