Arsenal roho juu wamtaka Manolas (As Roma)

Kukiwa kumesalia chini ya juma moja kabla ya dirisha la uhamisho kukamilika nchini Uingereza vilabu mbali mbali viko mbioni kukamilisha sajili mbali mbali kupanga vikosi vyao.

Klabu ya Arsenal iko mbioni kumsajili Kostas Minolas kutokea klabu ya As Roma baada ya kuonekana kufifia matumani ya kumsajili Schrodan Mustafi kutokea klabu ya Valencia. Wengine pia wanaohusishw na klabu hiyo ni Antoinne Griezmann,Omer Toprak kutokwea Bayern Leverkussen.

Total Views: 413 ,