Antoine Griezmann kuhamia Barca

Mshambulizi wa Atletico Madrid Antoine Griezmann, 26, anadaiwa kuanza kutafuta nyumba eneo la Catalonia kwa kile kinachoaminika ni maandalizi yake akitarajia uwezekano wake wa kuhamia Barcelona.

Lakini meneja wa Atletico Diego Simeone amepuuzilia mbali uvumi kuhusu uwezekano wa Mfaransa huyo kuhama karibuni.

Total Views: 140 ,