ALI KIBA KULA FUNGATE ITALY

Gavana wa Mombasa ni kati ya wageni waliohudhuria Harusi yake msaani wa Bongo Fleva Ali Kiba mapema leo  katika msikiti wa Umu kuthum katika eneo la Kizingo kauti ya Mombasa.

Aidha sherehe hizi zingali zimenoga hapa pwani na jioni ya leo katika ukumbi wa Jubilee hapa Mombasa kwanzia mida ya 7.30 sherehe hizo zitaendelea.ffffffffffffffffffffff

Kiba amefunga ndoa na binti Aminah Rikesh Ahmed tokea eneola Kongowea hapa Mombasa, huku akichia jumbe kwenye  kurasa zake za mitandao kuwa

Siku ya leo Ndio Siku Mama Yangu Na Baba Yangu walifunga Ndoa ALHAMDULILAH #KingKiba.”

Vile vile matayarisho yanaendelea nchini Tanzania kwa minajili ya sherehe za arusi hio zitakazo fanyika nchini Tanzania.

Aidha imebainika kuwa msaani Ali Kiba anapanga kula fungate yake nchini  ITALY.

Total Views: 740 ,