Abramovich amtaka Conte Kumsajili Bonucci

Mmiliki wa klabu ya Chelsea Roman Abromovich amemwambi mkufunzi Antonio conte yuko tayari kutoa kima chochote cha fedha kuhakikisha klabu hiyo inamtwaa Leonardo Bonnucci mlinzi anayewajibikia klabu Juventus.

Mechi za kuwania kufuzu kwa kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi zitaendelea usiku huu na ifuatayo ni ratiba kamili..

Total Views: 396 ,